Get Instructions
main picture
Title Bar
Go To Main Menu Print Page previous page PagePage Total next page
Play Button How many people live in this area? Play Button waatoo waangaapee waanaa-eeshee kaateeka sehemoo hee? watu wangapi wanaishi katika sehemu hii?
Play Button How many water wells do you have in this area? Play Button mnaa veeseema veengaapee vyaa maajee kaateeka sehemoo hee? mna visima vingapi vya maji katika sehemu hii?
Play Button Do you have a sewage system in this area? Play Button mnaa mfoomo waa maajee machaafoo kaateeka sehem hee? mna mfumo wa maji machafu katika sehemu hii?
Play Button How far are the latrines from the water wells? Play Button vyo veeko oombaalee gaanee kootoka kwaa veeseema vyaa maajee? vyoo viko umbali gani kutoka kwa visima vya maji?
Play Button What type of herds graze in this area? Play Button koondee laa waanyaama gaanee waanaakoola maajaanee kaateeka sehemoo hee? kundi la wanyama gani wanakula majani katika sehemu hii?
Play Button Is there a veterinarian? Play Button koona daaktaaRee waa wanyaama? kuna daktari wa wanyama?
Play Button Are there any factories in the area? Play Button koona veewaanda kaateeka sehemoo hee? kuna viwanda katika sehemu hii?
Play Button Is there a river nearby? Play Button koona mto kaaReeboo naa haapaa? kuna mto karibu na hapa?
Play Button Where do you get electricity from? Play Button mnaapaata waapee oomemey? mnapata wapi umeme?
Play Button Is there a power plant nearby? Play Button koona keetoowo chaa oomemey kaaReeboo naa haapaa? kuna kituo cha umeme karibu na hapa?
Play Button What kind of electrical appliances do people use? Play Button waatoo waanaatoomeeya veefaa gaanee vyaa oomemey? watu wanatumia vifaa gani vya umeme?
Play Button Do you use electric stoves? Play Button mnaatoomeeya meyko yaa oomemey? mnatumia meko ya umeme?
Play Button Have there been forest fires in the area? Play Button koomekoowa naa meeyoto yaa miseetoonee kaateeka sehem hee? kumekuwa na mioto ya misituni katika sehemu hii?
Play Button Are there any gas pipes around here? Play Button koona maabomba yaa gesee kaaReeboo naa haapaa? kuna mabomba ya gesi karibu na hapa?
Play Button Do you use gas to heat homes around here? Play Button mnaatoomeeya gesee koopaasha nyoomba moto haapa? mnatumia gesi kupasha nyumba moto hapa?
Play Button Is gas used for cooking? Play Button gesee eenaatoomeewa koopeeka? gesi inatumiwa kupika?
Play Button Do you use propane gas tanks? Play Button mnaatoomeeya mataangee yaa gesee yaa pRopenee? mnatumia matangi ya gesi ya propeni?
Play Button Where do you get propane gas tanks supplied from? Play Button mnaapaata mataangee yaa gesee yaa Propenee kootoka waapee? mnapata matangi ya gesi ya propeni kutoka wapi?
Play Button Is there anyone to inspect home gas appliances? Play Button koona mtoo yeyotey waa kookaagoowa veefaa vyaa nyambaanee vyaa gesee? kuna mtu yeyote wa kukagua vifaa vya nyambani vya gesi?
Play Button Is there an electrician here? Play Button koona foondee waa oomemey haapaa? kuna fundi wa umeme hapa?
Play Button Is there a water supply system to households? Play Button koona mfoomo waa oogaavee waa maajee kwenyey nyoomba? kuna mfumo wa ugavi wa maji kwenye nyumba?
Play Button Where is the facility located? Play Button oomfoomoo hoowo ooko waapee? mfumu huo uko wapi?
Play Button How many people operate the system? Play Button waatoo waangaapee wanaa-endeysha mfoomo? watu wangapi wanaendesha mfumo?
Play Button Is it connected to other water supply systems? Play Button oomeyoongaaneesh-wa naa meefoomo mingeeney yaa oogaavee waa maajee? umeunganishwa na mifumo mingine ya ugavi wa maji?
Play Button Is it functional? Play Button oonafaanya kaazee? unafanya kazi?
Play Button Where are the sources of raw water? Play Button vyaanzo vyaa maajee maabeechee veeko waapee? vyanzo vya maji mabichi viko wapi?
Play Button Is it polluted? Play Button nee machaafoo? ni machafu?
Play Button Is there a water treatment used? Play Button koona daawaa eenaa-yotoomeewa kwaa maajee? kuna dawa ynayotumiwa kwa maji?
Play Button Is it chemical? Play Button nee yaa kemeekaalee? ni ya kemikali?
Play Button Is it through filtration? Play Button nee koopeeteeya koosaafeesha kwaa choodyeeo? ni kupitia kusafisha kwa chujio?
Play Button Is it by sedimentation? Play Button nee kwaa kootengeneyza maashaapo? ni kwa kutengeneza mashapo?
Play Button Where is the pumping station? Play Button steyshenee yaa petRolee eeko waapee? stesheni ya petroli iko wapi?
Play Button How many people are needed to keep the system functional? Play Button waatoo waangaapee waanaheetaajeeka eelee koowezeysha mfoomo koo-eendeleya koofaanya kaazee? watu wangapi wanahitajika ili kuuwezesha mfumo kuendelea kufanya kazi?
Play Button We've heard that there have been some problems with sewage in this neighborhood. Play Button toomeseekeeya kwaamba koomeykoowa naa maataateezo yaa maajee machaafoo kaateeka mtaa hoo tumesikia kwamba kumekuwa na matatizo ya maji machafu katika mtaa huu
Play Button Do you have indoor plumbing? Play Button mnaa maabomba yaa ndaanee yaa nyoomba? mna mabomba ya ndani ya nyumba?
Play Button Do you have any problems with your plumbing? Play Button mnaa sheeda zozotey naa maabomba yeynoo? mna shida zozote na mabomba yenu?
Play Button Does your toilet work? Play Button cho chaako keenafaanya kaazee? choo chako kinafanya kazi?
Play Button How many toilets do you have in the house? Play Button mnaa vyo veengaapee nyoobaanee? mna vyoo vingapi nyumbani?
Play Button Do you have a septic tank? Play Button mnaa taangee laa maajee machaafoo? mna tangi la maji machafu?
Play Button Is there anyone who can fix your sewer? Play Button koona mtoo yeyotey aambaayey aanaweyza kootengeneyza mfeRejee waa oochaafoo? kuna mtu yeyote ambaye anaweza kutengeneza mfereji wa uchafu?
Play Button Have you contacted anyone regarding this problem? If so who? Play Button oomewaseeliyaana naa mtoo yeyotey kuhoosoo taateezo heelee? kaama nee heevyo, naanee? umewasiliana na mtu yeyote kuhusu tatizo hili? kama ni hivyo, nani?
Play Button When did you contact them? Play Button ooleewaaseeliyaana naw leenee? uliwasiliana nao lini?
Play Button I will report this higher up and see if there is something we can do to fix the sewage problem. Play Button neetaaReefoo ngaazee zaa dyoo naa koowona kaama koona keetoo chochotey toonaachoweyza koofaanya kootaatoowa taateezo laa maajee machaafoo nitaarifu ngazi za juu na kuona kama kuna kitu chochote tunachoweza kufanya kutatua tatizo la maji machafu
Play Button We will contact the sewage company and find out what is being done to correct the problem. Play Button tootawaaseeliyaana naa kaampoonee zeenazoshoogooleeykeeya maajee machaafoo naa koochoongooza keetoo gaanee keenafaanyeeka koosaahiheesha taateezo tutawasiliana na kampuni zinazoshughulikia maji machafu na kuchunguza kitu gani kinafanyika kusahihisha tatizo
Go To Main Menu Print Page DLIFLC 2007 previous page PagePage Total next page