Get Instructions
main picture
Title Bar
Go To Main Menu Print Page previous page PagePage Total next page
Play Button Your child is sick. Play Button mtoto waako nee mgonjwaa mtoto wako ni mgonjwa
Play Button Your child is hurt. Play Button mtoto waako aamey-oomeeyaa mtoto wako ameumia
Play Button We need to care for your child. Play Button toonaheetaajee koomtoonzaa mtoto waako tunahitaji kumtunza mtoto wako
Play Button You need to let us keep your child here. Play Button oonaheetaadyee kootooRoohoosoo toomtoonzey mtoto waako haapaa unahitaji kuturuhusu tumtunze mtoto wako hapa
Play Button You may stay with your child. Play Button oonaweyzaa kookaa naa mtoto waako unaweza kukaa na mtoto wako
Play Button Let us examine your child in private. Play Button toomchoongoozey mtoto waako faaRagaanee tumchunguze mtoto wako faraghani
Play Button Your child will get better soon. Play Button mtoto waako aataapaataa naafoo hivee kaReeboonee mtoto wako atapata nafuu hivi karibuni
Play Button This medicine will help your child. Play Button daawa hee eetaamsaaydeeyaa mtoto waako dawa hii itamsaidia mtoto wako
Play Button Did your child eat today? Play Button mtoto waako aaleekoola leyo? mtoto wako alikula leo?
Play Button Did your child eat yesterday? Play Button mtoto waako aaleekoola jaanaa? mtoto wako alikula jana?
Play Button Has your child passed urine today? Play Button mtoto waako ameykojowaa leyo? mtoto wako amekojoa leo?
Play Button Has your child passed any stool today? Play Button mtoto waako ameykwenda cho leyo? mtoto wako amekwenda choo leo?
Play Button Did your child pass any stool yesterday? Play Button mtotowaako aaleykwenda cho jaanaa? mtoto wako alikwenda choo jana?
Play Button Has your child had any diarrhea? Play Button mtoto waako aameykoowa naa oogonjwa wowotey waa koohaaRaa? mtoto wako amekuwa na ugonjwa wowote wa kuhara?
Play Button Has your child been vomiting? Play Button mtoto waako aameykoowa aakeetaapeeka? mtoto wako amekuwa akitapika?
Play Button Your child looks healthy. Play Button mtoto waako aanaa-oneykaana mwenye aafyaa nzooRee mtoto wako anaonekana mwenye afya nzuri
Play Button Your child will be fine. Play Button mtoto waako ataakoowa saawaa mtoto wako atakuwa sawa
Play Button Your child will be ill for a long time. Play Button mtoto waako aataakoowa mgonjwa kwaa mooda mRefoo mtoto wako atakuwa mgonjwa kwa muda mrefu
Play Button This illness will pass slowly, but your child's health will return completely. Play Button oogonjwa hoo ootaa peetaa poleypoley laakeenee aafyaa yaa mtoto waako eetaaRoodee kabeesaa ugonjwa huu utapita polepole, lakini afya ya mtoto wako itarudi kabisa
Play Button Feed the child small portions every few hours. Play Button mleeshey mtoto veepaandey veedogo keelaa maasaa maachaachey mlishe mtoto vipande vidogo kila masaa machache
Play Button Help your child drink this every few hours. Play Button msaaaydeeye mtoto waako koonywaa hee keelaa maasaa machaachey msaidie mtoto wako kunywa hii kila masaa machache
Play Button Feed this medicine to your child every four hours. Play Button mpey mtoto waako daawa hee keelaa maasaa maachaachey mpe mtoto wako dawa hii kila masaa machache
Play Button Allow your child to sleep. Play Button Roohoosoo mtoto waako koolaalaa ruhusu mtoto wako kulala
Play Button You need to sleep as much as the child does. Play Button oonaheetaajee koolaalaa kaadRee mtoto aanaavyolaalaa unahitaji kulala kadiri mtoto anavyolala
Play Button Bring your child back here tomorrow. Play Button mRoodeeshey mtoto waako haapaa kesho mrudishe mtoto wako hapa kesho
Play Button Bring your child back if there is no improvement by tomorrow. Play Button mRoodeeshey mtoto waako kaamaa haakoona naafoo eefeekaapo kesho mrudishe mtoto wako kama hakuna nafuu ifikapo kesho
Play Button We will continue to follow the health of your child with you. Play Button tootaa-endeleya koofwaateeleeya aafyaa yaa mtoto waako naawey tutaendelea kufuata afya ya mtoto wako nawe
Go To Main Menu Print Page DLIFLC 2007 previous page PagePage Total next page